Share

Lugha ya Kichina yashika kasi nchini Uganda

Share This:

Nchini Uganda lugha ya Kichina inazidi kushika kasi, angalau shule 30 kote nchini humo zinafundisha lugha hiyo. Je wewe unazungumza lugha ngapi za kimataifa? Kurunzi

Leave a Comment