Share

Lugha ya kiswahili yapendekezwa kuwa lugha ya nne SADC

Share This:

Baraza la mawaziri wa SADC limepitisha mapendekezo 107 yatakayowasilishwa kwa wakuu wa nchi ikiwemo lugha ya Kiswahili kuwa lugha ya nne kwa nchi wanachama.

Leave a Comment