Share

Lulu awaliza mastaa wa Bongo baada ya hukumu

Share This:

Mstaa kadhaa wemetumia kurasa zao za mtandao wa kijamii wa Instagram kuonyesha hisia zao baada ya hukumu kutolewa ya kwenda jela miaka miwili kwa muigizaji wa filamu nchini, Elzabeth Michael ‘Lulu’ ambaye amekutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba.

Leave a Comment