Share

M ajambazi wawili wauawa dar

Share This:

Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na askari polisi katika eneo la Mbezi Mshikamano jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment