Share

Maafisa Biashara Watakiwa Kupatiwa Mafunzo Ya Utekelezaji Wa Azma Ya Serikali

Share This:

Serikali imeviagiza vyuo vya elimu ya biashara kuwafuata maafisa biashara kote nchini ili kuwapatia mafunzo ya kuwawezesha kufahamu azma ya serikali juu ya utekelezaji wa uchumi wa viwanda.

Leave a Comment