Share

Maagizo ya Mbarawa kwa Shirika la Reli juu ya ajali ya kigoma

Share This:

Leo June 11, 2018 Nakusogezea stori kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ambapo ametoa miezi 3 kwa Shirika la Reli Tanzania kuhakikisha linaweka alama (barrier) katika kila eneo la makutano ya barabara na reli.

Leave a Comment