Share

Maagizo ya Serikali kwa wakuu wote wa mikoa na wilaya

Share This:

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Kilimo Dr Mary Mwanjelwa imeagiza kugawanywa kwa Chama cha Ushirika cha Tandahimba na Newala (TANECU)
Na wakuu wote wa mikoa na Wilaya nchini mwenendo wa ushirika kwa ukaribu na wote watakaoshindwa kufuata maagizo hayo kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

Leave a Comment