Share

MAAJABU: Mtu kazikwa alafu siku 3 baadae kapiga simu

Share This:

Dunia na maajabu yake ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo July 18, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habib kuinasa Hekaheka iliyotokea Dodoma ambako ndugu walipata taarifa za msiba wa ndugu yao na walipofuatilia mwili wa marehemu walithibitisha na kuuzika lakini baada ya siku tatu wakijua wameshazika, Marehemu akapiga simu.

Leave a Comment