Share

Maalim Seif ahitimisha mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu Unguja.

Share This:

Shughuli za kijamii na kibiashara katika mji wa Zanzibar na viunga vyake zimesimama kwa zaidi ya saa tano, kufuatia maelfu ya wakazi wa mji huo kujitokeza kwa wingi katika mkutano wa kufunga kampeni za mgombea urais wa Zanzibar Mh. Maalim Seif Sharif Hamad zilizofanyika katika uwanja wa Maisara.

Leave a Comment