Share

Maamuzi ya Waziri Lukuvi kwa mpima ardhi anayedaiwa kuwa kero kwa wananchi Musoma

Share This:

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amemuondoa Mpima Ardhi wa manispaa ya Musoma Mkoani Mara John Kapera na Kumtaka Katibu Tawala wa mkoa wa Mara amuondoe katika kituo chake cha kazi kuanzia December 21 2016

John Kapera amekuwa anasababisha matatizo mengi katika Manispaa hiyo na kupelekea kuwa kero kwa wananchi wa Musoma katika kupima ardhi na kumilikisha.

Leave a Comment