Share

Maandamano bado ‘Mabichi’ nchini Sudan

Share This:

“Hakuna kusalimu amri” ndivyo waandamanaji nchini Sudan wanavyosema baada ya kuapa kutoondoka mitaani hadi serikali ya kiraia itakapooundwa na jeshi la nchi hiyo kuachia hatamu za uongozi wa kipindi cha mpito.

Waandamanaji wameandelea kupiga kambi mbele ya Makao Makuu ya Jehsi na Wizara ya Ulinzi siku kadhaa tangu utawala wa kiongozi wa muda mrefu Omar al Bashir kuondolewa madarakani.

Leave a Comment