Share

Maandamano bado yarindima Gaza

Share This:

Wapalestina wenye ghadhabu dhidi ya Israel waapa kuendelea na maandamano na mgomo kupinga mabavu ya Israel na kuomboleza kuuwawa kwa wenzao 58 na jeshi la Israel huko Gaza.

Leave a Comment