Share

Maandamano makubwa Lebanon, wanadai nini?

Share This:

Mamia ya waandamanaji nchini Lebanon wamezuia barabara kuu siku ya Ijumaa, baada ya maelfu ya raia kukasirishwa na pendekezo la nyongeza ya kodi na kuitaka serikali ijiuzulu. Kurunzi

Leave a Comment