Share

Maandamano ya demokrasia Hong Kong

Share This:

Kumeshuhudiwa machafuko mapema leo huko Hong Kong. Waandamanaji wanaopigania demokrasia wameshambuliwa na washukiwa wa uhalifu. Watu kadhaa wamejeruhiwa, mmoja kati yao akijeruhiwa vibaya.

Leave a Comment