Share

Maandamano ya kimyakimya Nairobi, Kenya

Share This:

Asasi za kiraia kadhaa za mjini Nairobi, Kenya zilifanya maandamano ya kimyakimya leo hii, kupinga ukatili wa kingono pamoja na dhulma za kijinsia, ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni ya siku 16.

Leave a Comment