Share

Maandamano yachacha Marekani

Share This:

Baada ya kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd aliyeuwawa na polisi mapema wiki hii, maandamano nchini Marekani yanaenea katika miji na majimbo tofauti na kituo cha polisi huko Minneapolis, kimetekezwa.

Leave a Comment