Share

MABESTE AITWA POLISI KISA ALIYEKUWA MAMA WATOTO WAKE “ANASEMA NAMDHALILISHA NA KOSA LINGINE…”

Share This:

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Mabeste amefunguka kwa kuthibitisha ni kweli aliitwa polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazomkabili juu ya kumchafua aliyekuwa mke wake, Lisa.

Rapa huyo amedai alipigiwa simu na kuambiwa anahitajika polisi na alivyofika aliambiwa anahojiwa kwa makosa ya mtandao ambayo ni kumthalilisha.

Written and edited by @YasiniNgitu

Leave a Comment