Share

MABISHANO MAHAKAMANI MBOWE NA POLISI: Mbowe atoa kauli

Share This:

Leo April 17, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alifika Mahakamani Kisutu na viongozi wengine wa Chama hicho kwa ajili ya kufatilia kesi inayowakabili, mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo Mbowe alitaka kuzungumza na waandishi wa habari lakini alizuiliwa na Askari Polisi

Leave a Comment