Share

Mabusha yameyatatiza maisha yangu na mke wangu

Share This:

Mabusha ni hali inayochangia kufura kwa wakati maji maji yanapojikusanya katika ngozi nyembamba ya korodani. Mzee Hamza na Mzee Shahib wameenlezea changamoto, aibu na unyanyapaa na jinsi walivyofanikiwa kuishi katika jamii na hali hiyo.

Leave a Comment