Share

Madaktari wanaosafiri kwa boti kuwahudumia wakazi wa visiwani Kenya

Share This:

Vijiji vinavyopatika vingi katika Kaunti ya Lamu kwenye bahari ya Hindi mpakani mwa Kenya na Somalia vinakabiliwa na ukosefu wa hospitali pamoja na miundombinu.

Leave a Comment