Share

Madampo ya kutupa gari chakavu Ujerumani

Share This:

Ujerumani na nchi kadhaa za Ulaya zimekuwa na mfumo wa utupaji magari yaliyoharibika au ambayo yanachangia uchafuzi wa mazingira pamoja na baadhi ya vifaa vya magari katika madampo maalum. Unaruhusiwa kutafuta kinachokufaa. Unauonaje utaratibu huo? Kurunzi Ujerumani.

Leave a Comment