Share

Madereva 54 Wasitishiwa Leseni Kwa Miezi Sita

Share This:

Madereva 54 wa magari ya abiria mkoani Arusha wamesitishiwa leseni zao kwa muda wa miezi sita kutokana na kufanya makosa ya usalama barabarani mara kwa mara.

Leave a Comment