Share

“Madereva ni hatari zaidi ya Ukimwi” RPC Pwani

Share This:

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Pwani Jonathan Shama ametoa tahadhari kwa madereva wazembe kuwa makini kwani yeye saivi atakuwa mkali kuliko wakati kwani ajali moja inaua kuliko ugonjwa wowote.

Leave a Comment