Share

Madiwani 19 wa CHADEMA wapitishwa kugombea Udiwani CCM

Share This:

Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Arusha imewapitisha Madiwani 19 wa CHADEMA waliojiuzulu kugombea tena nafasi za Udiwani katika mkoa wa Arusha na kusema kwamba sababu nikuwarudishia fadhila baada ya kujiuzulu nakumuunga mkono Rais Magufuli

Leave a Comment