Share

Mahakama nchini Tanzania ymuhuku msanii Elizabeth Michael

Share This:

Hatimaye mahakama kuu nchini Tanzania imemuhukumu kifungo cha miaka miwili jela Msanii maarufu wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael ama “Lulu” kwa kosa kuua bila ya kukusudia. Tizama Video hii iliyopigwa na Yakub Talib uone mambo yalivyokuwa mahakamani.

Leave a Comment