Share

Mahakama ya DSM yaahirisha kesi ya kikatiba kuhusu tafsiri ya mita 200 hadi kesho.

Share This:

Hatimaye mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imesikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na kada wa Chadema anayeiomba mahakama hiyo kutoa uamuzi wa kwamba wananchi wanatakiwa kukaa mita ngapi baada ya kupiga kura shauri ambalo limekuwa na mvutano mkali wa kisheria na kupelekea shauri hilo kushindwa kutolewa uamuzi wake hadi kesho saa tano asubuhi.

Leave a Comment