Share

Maisha ya siri ya wafanyakazi wa ndani wa kiganda nchini Kenya

Share This:

Nchini Uganda, wasichana wanaondoka nyumbani kujaribu kutafuta kazi za nyumbani katika mataifa jirani ikiwemo Kenya.

Lakini hatua hiyo ya kutafuta maisha huwafanya baadhi kuishia kunyanyaswa. Shirika la msaada nchini Kenya linatoa wito kuidhinishwa sheria za kuwalinda wafanyakazi wa nyumbani, au mayaya, kuhakikisha usalama wao.

Leave a Comment