Share

MAJAJI WAPYA WAPEWA SOMO “MJIKINGE KUINGILIWA”

Share This:

Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amezungumza na jopo la Majaji wapya walioteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni, huku akiwataka wajikinge kuingiliwa kwa kupewa taarifa zisizo sahihi Majaji wakongwe.

Leave a Comment