Share

Majaliwa atoa siku 14 visima kuchimbwa na kukamilika.

Share This:

#MOROGORO
#ITVTANZANIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa kubadilisha matumizi ya fedha za mapato ya ndani milioni 70 walizokusanya katika robo ya mwaka zitumike kwenye ujenzi wa kuchimba visima katika kata ya Ruhaa wilayani Kilosa na kuvikamilisha ndani ya siku 14.

Leave a Comment