Share

Majambazi wenye Silaha wamevamia kituo cha mafuta na kupora fedha

Share This:

Majambazi wapatao wanne wakiwa wamevalia Makoti Meusi na silaha za Moto wamevamia kituo cha Mafuta cha Manjis cha jijini Arusha na kufanikiwa kupora kiasi cha Milioni 2 fedha za mauzo.

Leave a Comment