Share

Majani chanzo cha kujifungua pacha

Share This:

Kusini magharibi mwa Nigeria katika mji wa Igbo Ora, bango hili linakukaribisha. Wenyewe wanauita mji wao “Mji Mkuu wa mapacha duniani”. Wengi wanaoishi huko ni kabila la Yoruba. Mapacha ni wengi katika kabila hilo, chanzo chake wanasema, ni majani.

Leave a Comment