Share

Majeruhi wa ajali iliyohusisha wafanyakazi Azam Media waendelea vizuri.

Share This:

Majeruhi watatu wa ajali ya gari iliyotokea eneo la Shelui na Igunga mkoani Singida ambao ni wafanyakazi wa Azam Media Limited waliohamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Taasisi ya tiba mifupa (MOI) wanaendelea vizuri.

Leave a Comment