Share

Majibu ya Spika kuhusu kumnyang’anya Mbowe gari lake

Share This:

Spika wa Bunge Job Ndugai amejibu mwongozo uliotolewa na Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara aliyehoji sababu za Kiongozi wa upinzani Bungeni Freeman Mbowe kutopewa gari lake.

Leave a Comment