Share

Majibu ya Waziri Maghembe baada kudaiwa kuvamiwa na wananchi Loliondo

Share This:

Waziri wa maliasili na utalii Profesa Jumanne Maghembe amekanusha taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kwamba alivamiwa na wananchi wenye silaha za jadi wakati akienda wilayani Loliondo

Maghembe amesema kamati ya maliasili ndio iliyokutana na wananchi wakiwa na mabango na tayari kamati ya waziri mkuu iliyoundwa tayari inaendelea na kazi zake

Leave a Comment