Share

Majibu ya Waziri Nchemba kuhusu askari wanaowabebesha watu adhabu ya mtu mwingine

Share This:

Leo June 13 2018 bungeni Dodoma, Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Dk. Mwigulu Nchemba amejibu swali la nyongeza la mbunge wa viti maalumu ‘CHADEMA’, Devotha Minja aliyeuliza kuhusu tabia ya baadhi ya askari ambao wanapokwenda kumkamata mtu, wakimkosa wanamkamata mbadala ambaye anaweza kuwa mme au mke.

Leave a Comment