Share

Makaburi ya wakimbizi wa Poland

Share This:

Katika eneo la Tengeru mkoani Arusha kuna eneo la kitalii ambalo limetunza historia na kumbukumbu ya maisha ya raia wa Poland waliokwenda katika eneo hilo kama wakimbizi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia. Mwandishi wetu wa Arusha, Veronica Natalis amelitembelea eneo hilo na ametuandalia video hii fupi. Kurunzi 12.09.2019

Leave a Comment