Share

Makala: Chin Bees ananyemelea ufalme wake ndani ya Weusi

Share This:

Unaanza mdundo mkali kisha sign tone ya producer Luffa, ni katika ngoma ya G Nako inayokwenda kwa jina la Arosto na ndani yake katika chorus ikisikika sauti ya Chin Bees, je baada ya hapo nini kilifuata?,

Leave a Comment