Share

Makala: Diamond jitafakari, umewakwaza mashabiki wako

Share This:

Hapo jana April 15, 2018 msanii Diamond Platnumz aliweka video mtandaoni zikimuonyesha akiwa faragha na wanawake wawili, mmoja wapo hajafahamika na mwingine ni mwanamitindo Hamisa Mobetto aliyezaa nae mtoto mmoja.

Baada ya video hizo mashabiki wake wameonyesha kutopendezwa na kitendo hicho na kukichukulia kama udhalilishaji. Kivipi?, unawezaje kuweka video mbili ndani ya muda mfupi ukiwa na wanawake wawili tofauti, ISIKILIZE.

Leave a Comment