Share

Makala: Sababu tano kwa nini nawakubali AY na Diamond

Share This:

Kwa wakati huu unapotaka kuzungumzia mafanikio ya muziki wa Bongo Fleva katika ngazi ya kimataifa, huwezi kuepuka kuyataja majina ya Ambwene Yessayah ‘AY’ na Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’.

Leo kupitia Bongo5 Makala ningependa kukushirikisha hizi sababu tano kwa nini nawakubali wasanii hawa.

Leave a Comment