Share

Makamu wa rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal amefungua rasmi barabara ya Msoga-Msolwa

Share This:

Makamu wa rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal amefungua rasmi barabara ya Msoga-Msolwa yenye urefu wa km.10 itakayounganisha barabara ya Segera na Morogoro bila kupitia Chalinze na kukagua mzani wa kisasa wa vigwaza mkoani Pwani.

Leave a Comment