Share

Makonda atumia dakika 90 kutaja mafanikio 10, ahadi 10

Share This:

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana aliadhimisha mwaka wake mmoja tangu ateuliwe kushika wadhifa huo huku akitumia dakika 90 (saa 1:30) kueleza mambo 10 aliyoyafanya katika kipindi hicho na mengine 10 atakayoyafanya katika mwaka wake wa pili unaoanza leo.

Posted In:

Leave a Comment