Share

Makosa 6 yaliyosababisha Mhasibu Mkuu Bodi ya Pamba kufikishwa Mahakamani

Share This:

Mhasibu Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania, Simon Maganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na makosa 6 ikiwemo uhujumu uchumi wa kuisababishia Serikali hasara ya Sh.Milioni 55.6

Katika makosa hayo, mashtaka 4 ni matumizi mabaya ya nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri, shtaka la ufujaji, ubadhilifu na uhujumu uchumi kusababisha hasara.

Leave a Comment