Share

Makundi yenye silaha yanawaua raia Jamhuri ya Afrika ya Kati

Share This:

Polisi wamekabiliana na waandamanaji mjini Hamburg kuelekea mkutano wa G20. Waziri mkuu wa India Narendra Modi amewasili Tel Aviv. Na zaidi ya watu 560 wameuawa huko Jamhuri ya Afrika ya kati na makundi yenye silaha. Papo kwa Papo 05.07.2017.

Leave a Comment