Share

Malalamiko yatolewayo na abiria kwenye usafiri wa anga mara kwa mara TZ

Share This:

Hivi karibuni tumeshuhudia Rais Magufuli akipokea ndege mpya kubwa ya Boeing 787-7 Dreamliner ambayo inatazamiwa kuleta mapinduzi kwenye usafiri wa anga Tanzania.
Sasa kwenye usafiri wa anga hapa Tanzania zipo kero nyingi ambazo abiria hukutana nazo. AyoTV imempata, Elias Mwashiuya, Katibu Mtendaji Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma ya usafiri wa anga Tanzania, anatueleza kero au malalamiko ambayo uripotiwa mara kwa mara na abiria.

Leave a Comment