Share

Malawi kuishitaki Tanzania The Hague mzozo wa ziwa Nyasa

Share This:

Kiongozi wa zamani wa FBI Robert Mueller ameteuliwa kuchunguza madai ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani. Malawi inapanga kuishitaki Tanzania katika mahakama ya The Hague kuhusu mzozo wa Ziwa Nyasa. Na idadi ya waliofariki Venezuela yafikia 43. Papo kwa Papo 18.05.2017

Leave a Comment