Share

Maliha Mohammed: Mpishi aliyevunja rekodi ya dunia ya kitabu cha Guiness kwa kupika

Share This:

Mwanamke huyu amekuwa mtu wa kwanza kuvunja rekodi hiyo barani Afrika

Maliha alipika kwa muda wa saa 75 bila kusita na hivyobasi kuvunja rekodi ya dunia siku ya Jumapili katika hoteli ya kitalii ya Bay Beach mjini Mombasa.

Leave a Comment