Share

Malkia Nanny: Mwanamke aliyetoroka utumwa Jamaica na kuwa malkia

Share This:

Nanny alizaliwa karibu mwaka 1686 katika jamii ya Asante katika sehemu ambayo sasa inafahamika kama Ghana, Afrika Magharibi.
Baada ya kusafirishwa hadi Jamaica kama mtumwa, alitoroka na kuwa kiongozi wa kundi la watumwa huru na anafahamika zaidi kama Queen Nanny.
Hii ni sehemu ya mfululizo wa makala ya BBC kuhusu wanawake wa Afrika waliyobadilisha dunia.

Leave a Comment