Share

Malori zaidi ya 30 ya mchanga na kokoto yazuiwa baada ya madereva kugoma kulipa ushuru.

Share This:

#MWANZA
#ITVTANZANIA
MALORI ZAIDI YA 30 YALIYOKUWA YAMEBEBA MCHANGA NA KOKOTO KUTOKA WILAYA YA MISUNGWI KWENDA JIJINI MWANZA, YAMEZUIWA KATIKA ENEO LA BUHONGWA WILAYANI NYAMAGANA KWA TAKRIBANI SAA NANE BAADA YA MADEREVA WA MALORI HAYO KUGOMA KULIPA USHURU WA KUINGIZA MALIGHAFI HIYO JIJINI HUMO KWA MADAI KUWA NI KINYUME CHA SHERIA.

Leave a Comment