Share

Mama aingizwa chaka na mchungaji, nyumba yake yapigwa mnada

Share This:

Mama mmoja ambaye ni mkazi wa Kunduchi Beach jijini Dar es salaam Mtaa wa Kondo Ijumaa hii amejikuta katika wakati mgumu baada ya nyumba yake iliyopo mtaa huo plot 238 Block B, kupingwa mnada ‘kimagumashi’ na kampuni ya udalali inayojitambulisha kwa jina la Nkaya Company Limited yenye makazi yake Namanga Kinondoni jijini Dar es salaam.

Leave a Comment