Share

Mama Kanumba amwaga chozi mahakamani hukumu ya Lulu

Share This:

Baada ya Muigizaji wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba. Mama mzazi wa Kanumba amemwaga chozi mahakamani na kueleza masikitiko yake.

Leave a Comment